0
Binadamu - Diamond Platnumz
0 0

Binadamu Diamond Platnumz

Binadamu - Diamond Platnumz
[Intro]
Ayo
Ha ha
Yo, I'm back, Bob Junior, I'm back
Acha vita ianze
Wamechelewa

[Chorus]
Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya
(Wabaya...)
Ndugu, rafiki, nani ana roho safi, nani ana roho mbaya
(Mbaya...)
Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya
Mola
Naomba nilinde niwe na upendo wa dhati wote niishi nao sawa

[Verse 1]
Nilipouanza mziki
Mbali na dhiki
Nimekutana na matatizo sana
Sikuwa rafiki
Sithaminiki
Bado kidogo mie tu nikate tamaa
Wangu moyo
Ulivumilia dharau na masimango mi
Mi wangu moyo
Ulivumilia utumwa na manyanyaso di
Yaani nahangaika usiku kucha naambulia patupu
Nilikuwa naumia
Moyoni najipa moyo kesho nitakuwa maarufu
Mwisho wa siku nafulia
Ile nahangaika usiku kucha naambulia patupu
Nilikuwa naumia
Najipa moyo kesho nitakuwa maarufu
Mwisho wa siku nafulia...
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?