0
Kama Wengine - D Voice (Ft. Diamond Platnumz)
0 0
Kama Wengine - D Voice (Ft. Diamond Platnumz)
Oya we unajifanya ah, unajifanya mtu wa dini mchana
Usiku kidimbwi unagombania mabwana
Unajifanya haujatumika msichana
Sa nimechomeka sa mbona haijabana

Oya wee! (We malaya tu kama malaya wengine)
Oyaa wee! (We utumbo tu kama utumbo mwengine)

Aah! Snichi sio mwana, mwana sio snichi
Nikiwa nae shemu kumbe nkiondoka sweet
Viushauri penzi langu kunipatia
Kumbe kwa nyuma bebe yangu unaivizia

Wee snichi tuu kama masnichi wengine
Oya wee! (We kuwadi tu kama kuwadi wengine)

Unajifanya upendi waganga unapenda masheikh
Kujifanya dogo janja kama ujabalehe
Kumbe wewe na mimi wote walewale
Tofauti mganga wako wa buza wangu wa tandale

Oya wewe (we mchawi tu kama wachawi wengine)
Oya wewe we ni mwanga tu kama wanga wenginе

Unaheshimu ramadhani unazini shabani (tooba)
Mchana stara usiku viwanjani
Sa mahubiri yako unamuhubiria nani
We na mimi woote kеsho motoni
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?