0
Alivyonipenda - Otile Brown (Ft. King Kaka)
0 0
Alivyonipenda - Otile Brown (Ft. King Kaka)
[Verse 1: Otile Brown]
Saa zingine anayekupenda humpendi
Unapenda mwingine
Anayependa mwingine hata asiye mpendanga
Na kila mtu anataka type yake
Saa zingine hata wale wenye hadhi na sisi tunawakataanga

[Chorus: Otile Brown]
Alivyonipenda yule, alivyonipendanga
Alivyonipenda yule, sikujali nikamuaga

[Verse 2: Otile Brown]
Yule aliyenipenda bure
Nikamuacha kwa ajili yake yule
Aliyefata pesa na zaidi ya hiyo sikuwa na maana
Kweli macho yalinihadaa
Haki macho yalinihadaa
Alivyonipenda kwa bidii
Suzeed kanionya mimi sisikii
Urembo pekee hauridhishi
Inahitaji zaidi
Type yangu, ni yule anaejua thamani ya penzi langu…
Type yangu, ni yule anaenienzi
Ina maana gani, uwe na msichana mrembo
Dunia Nzima, na hakupendi?
Ina maana gani uwe na mume
Mwenye hela chungu nzima na hakudhamini?
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?