0
Mashetani - Wakadinali
0 0

Mashetani Wakadinali

Mashetani - Wakadinali
[Chorus]
Youths how de gwom za umashetani
Ju how often tutafurahia serikali
Youths how de gwom za umashetani
Ju how often tutafurahia serikali
Youths how de gwom za umashetani
Ju how often tutafurahia serikali
Youths how de gwom za umashetani
Ju how often tutafurahia serikali

[Verse 1]
Jacko kubwa na para natry tu kujificha
Duff mpararo nilikuwa naswim ka mchina
Mchinku sisi mwitu politics
Wanatuweka kwa crisis, tunacry sisi

[Chorus]
Ilikuwa ni situation, si unajua watu hawaelewangi
Ilikuwa ni situation, si unajua watu hawaelewangi
Ilikuwa ni situation, si unajua watu hawaelewangi
Ilikuwa ni situation, si unajua watu hawaelewangi
Ni situation

[Verse 2]
Get your education to teach the others
Si life huku ghetto hukuwanga tu hazard
Kuput food on the plate manze jo ni blunder
Tunalive hand to mouth kama rasta na shada
Sikudhani lazima ukuwe na muscle
Ukitaka castle lazma uchape hustle
Big up soldiеr man wake 24/7
365 ukivumilia njeve
Siwеzi doz ka sijaskia risasi
Huku kila siku tunaishi na mikosi
Ati Pinchez na steppa walichai maponyi
Na Maponyi ako wapi? Hizo sides za Doni
After kusota alinitoka right fast
But nikizishika ukinicall na divert
Rap inaflow kwa damu so mi sidai class
Na unaeza ni hire ka bado unadai verse
Then nyi manigga mnakam mki act draft
Ukapi nikichekesha hairudi bila damu
Alafu booth nikispit utadhani nimejam
Mistari zimestick unaeza shikanisha na gum
Die hard soldier mi siplan kureturn
Ju vita ni illest na sina ma kwa gun
Then mi huzipurura mashash mi huziburn
Plus mi hupurura na sijawai tukanwa na fan
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?