[Verse 1]
Kabla tudie, uh
Kama iko kitu unataka si useme
Watu wakishikanga mkwanja wana-change
So nikiomoka itabidi uelewe
Si ati niko mbaya, ni vile
Ambition pekee ndo najua
Kufika huku niko utosheke am sure
Inaeza make sense kwa hao mamwere
Maybe that's why, kupata mwingine ka mimi utangoja milele
Nani ndo kichwa na nani mkia
Wananiangalia na mi naona mbele
Naeza retire, uh
Nishakupea ma memories
Nishatawala kila category
Na nisha-make enough hapa kuonewa gere
[Hook]
Kabla tudie, uh
Kitu unataka si useme (si useme)
Kitu unataka si upewe (si upewe)
Kitu unataka si utry (try)
Kabla tudie, uh
Kitu unataka si useme (si useme)
Kitu unataka si upewe (si upewe)
Kabla tudie, uh
Kama iko kitu unataka si useme
Watu wakishikanga mkwanja wana-change
So nikiomoka itabidi uelewe
Si ati niko mbaya, ni vile
Ambition pekee ndo najua
Kufika huku niko utosheke am sure
Inaeza make sense kwa hao mamwere
Maybe that's why, kupata mwingine ka mimi utangoja milele
Nani ndo kichwa na nani mkia
Wananiangalia na mi naona mbele
Naeza retire, uh
Nishakupea ma memories
Nishatawala kila category
Na nisha-make enough hapa kuonewa gere
[Hook]
Kabla tudie, uh
Kitu unataka si useme (si useme)
Kitu unataka si upewe (si upewe)
Kitu unataka si utry (try)
Kabla tudie, uh
Kitu unataka si useme (si useme)
Kitu unataka si upewe (si upewe)
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.