0
Mwambieni - Rayvanny (Ft. Macvoice)
0 0
Mwambieni - Rayvanny (Ft. Macvoice)
Iyo lizer
Mwambieni
Nampenda
Bila yeye
Mi siwezi

Mwambieni
Nampenda
Bila yeye
Mi siwezi

Ati simtaji jina (Anajijua)
Fundi wa Raha zangu (Anajijua)
Kiboko yangu
Sio mpaka niseme
Yule nina mpenda sana (Anajijua)
Roho yangu
(Anajijua)
Mwenye moyo wangu (Anajijua)
Sio mpaka niseme

Kwanza tuanze rangi yake
Ah! jamani ipo mwake
Natamani nione kopo lake
Amenunua wapi duka lake
Kisha tuje kwenye umbo lake ah!
Hapo lazima udate
Usije kutokwa mate
Mambo ya uturuki tuyaache
Maana mtoto kanawiri
Jaama! kumuacha uwe jasiri saana!
Nime shindwa kuwa bahiri
Mama! we nichune hadi kandambili
Sawa
Babe pose geuka freeze
Nipе tabasamu la picha cheese
You are so mwaaa!
You are so cutе
Kwako nime wehuka kabisa chizi
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?