Ahahaha Jeshi
Sounds by Abbah
(Konde Boy)

Kwanza namuomba Mungu iwe kweli
Nipate wa kunipenda anirithie kwa moyo
Niepushe na matapeli, wale wa kula na kwenda
Mi nimeumbwa na choyo

Arithike na changu kidogo cha ngama
Asiwafuate madanga
Mmmh shida zake ziwe zangu hadi kesho kiama
Tupate na vifaranga

Seti fire, mume jando jando
Kiuno kiwe mgando mgando
Akimimina aijaze ndoo
Nimng’ang’anie

Mchungaji mi kondoo kondoo
Vita yangu komando mando
Michepuko iweke kando
Wasiniiibie

Kama niki, kama nikimpata
Kama nikimpata, kama nikimpata
Nitampeleka kwa mama (Yaani kwa mama konde)
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?