0
Amina (I Need Her) - Quafff
0 0

Amina (I Need Her) Quafff

Amina (I Need Her) - Quafff
(The Tragic Studio)
Tragic!
(Quafff just landed)
(Am a Lit Kid Beat)

Mtoto jo ana rangi ye mweupe ka mwarabu
Usitake ona akigeuka juu utaona maajabu
Na anaitwa Amina toka coast kwa madafu
Toto jo ni keki mashallah ananipa taabu
I need her to be mine and that's how i feel like
Kama hizi ni picha wait till you see her in real life
Queen-Bee-Machine please take me to your bee Hive
Am sure you wanna be wife no worry yeeh i realized

Listen to my heart lay your body close to mine
Let me fill you with my dreams i can make you feel alright
You're perfect in my eyes you're my joy and my pride
I'll nеver give u up cause ain't no othеr good enough

Nimemfungia rohoni na namchunga ka bawabu
Maswali zikiwa mingi then milele ndo jawabu
Tuchekeshane kila kuchao univunje mbavu
Hebu ngoja kwanza nipe busu hapa kwa shavu

Nimemfungia rohoni na namchunga ka bawabu
Maswali zikiwa mingi then milele ndo jawabu
Tuchekeshane kila kuchao univunje mbavu
Hebu ngoja kwanza nipe busu hapa kwa shavu
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?