0
Terminator - Otile Brown
0 0

Terminator Otile Brown

Terminator - Otile Brown
《?》
[Verse 1]
Mapenzi ya siku hizi sio kama ya before
Unaweza wekeza kila kitu ulichonacho mwisho ukatoka zero
Sina muda wa kuzuga 'sema ukweli wako
Maana maji yamezidi unga 'yamenifika kwako


Somebody tell me 'how to please a woman
Somebody show me 'how to please a woman
But I'm gone, I'm away 'just to please a woman
Spend all my money 'just to please-, yeah ( a woman )
Ye ndio kisa niko club
Kila siku ni masela na ulabu
Nyumbani hapakaliki tabu 'kesi, mashitaka ninasomewa vitabu, ooh yeah


(?), basi nenda
Hii hapa talaka yako 'rudi kwa mama yako
Oh yeah
(?), basi nenda
Hii hapa talaka yako 'rudi kwa mama yako
Mmm, oh 'terminator
Oooh, oh terminator
Oh, ter-, terminator
Mmm, terminator
Mmm, oh 'terminator
Mmm, tеrminator
Oh, ter-, terminator
Mmm, terminator
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?